TSHABALALA AIBUKA MSHINDI

Bofya Hapa

Beki wa simba Muhamedi Hussein atwaa kitita cha mchezaji bora wa mwezi

Dar es Salaam. Beki wa Simba SC, Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ amekuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom wa mwezi Mei kwa msimu wa 2016/2017.

Hussein aliwashinda wachezaji Haruna Niyonzima wa Yanga na Shabani Idd wa Azam FC.