VANESSA MDEE NAYE AFANYA YAKE,AJA NA KITU KIPYA,AFUATA NYAYO ZA OMMY NA ALI KIBA

Bofya Hapa

Msanii Vanessa Mdee ameingia kwenye list ya wasanii wa muziki wa bongofleva waliobadili muonekano wao nywele za kichwani ambapo kwa kipindi cha hivi karibu imeonekana kama ni fashion waliyomuiga msanii Ben Pol kutokana na yeye kubadili nywele zake kuwa za kijani hadi kutungiwa jina la kijani kibichi..

Sasa Vanessa amepost picha zinazomuonesha akiwa amebadili rangi ya nywele na kwenye post ya kwanza ameandika caption iliyosomeka…

New Hair Who Dis? @iambenpol najua umefarijika sana 🤣📸 ” na post ya pili akaandika…>>>“Fresh outta Wakanda #WakandaFever” – Vanessa