WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKIWASIKILIZA MAWAZIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA

Bofya Hapa

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Bw. Selemani Jaffo wakati wa Kikao cha kwanza Mkutano wa tisa wa Bunge kilichoanza leo Novemba 7, 2017 mjini Dodoma.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Umi Mwalimu wakati wa Kikao cha Kwanza Mkutano wa tisa wa Bunge kilichoanza leo Novemba 7, 2017 Mjini Dodoma
PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU