WEMA SEPETU AACHA MWASWALI MAZITO KUHUSU MAPENZI,WABONGO WATAKA KUJUAKAMA AMEPATA MPENZI MPYA

Bofya Hapa

Kupitia instagram account ya Wema Sepetu amewaacha mashabiki wake kwenye dilemma baada ya outpost ua jekundu ambapo wengi wamezoea kuona baadhi ya mastaa kupost ua jeusi na kuonyesha kuwa mapenzi yameporomoka Je Wema Sepetu yupo kwenye mapenzi mapya?