ZAIDI YA WAFUNGWA 3,000 WATOROKA DRC

Bofya Hapa

Zaidi ya wafungwa 3,000 wanaaminika kutoroka katika gereza kuu linalofahamika kwa jina la Makala huko jamhuri ya Kongo, vyanzo vya usalama vimeripoti.

Mamlaka za nchi hiyo zimesema kiasi cha wafungwa wapatao 50 walitoroka wakati watu wenye silaha walipovamia gereza hilo., makumi ya watu waliuawa katika tukio hilo.

Ne Muanda Nsemi,kiongozi wa kikundi cha siasana dini kinachojulikana kwa jina la l Bundu Dia Kongo,ni miongoni mwa wafungwa waliotoroka.