ZARI THE BOSS LADY KUMPIGA KIBUTI DIAMOND AWAVURUGA WASANII WA WCB WASAFI,WAIBUKA NA KAULI ZAO

Bofya Hapa

@rayvanny Amuomba @zarithebosslady Amsamehe @diamondplatnumz .rayvannySHEMELA RUDI MAMA UTATUUA!!!!   

February 14, 2018 mitandao ya kijamii ilichangamka sana baada ya post ya mzazi mwenza na Diamond Platnumz, Zari the Boss Lady kupost ua na ujumbe mzito wa kuachana na Diamond kitu ambacho baadae Harmonize amekuja kupost video fupi ya utani kuhusu hilo.

Harmonize amepost video hiyo inayomuonesha akiwa kwenye chumba cha kulala na mwanamke huku akiimba wimbo wa kuachwa na kisha kwenda kwenye ua huku akiliambia lile ua lisije kubadilika likawa jeusi, hata hivyo zari alipost ua lililobadilika rangi kutoka jekundu na kuwa jeusi.